NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, February 14, 2017

Mr Eazi - Leg Over ( Vibez Video ) ft Wizkid , Eddie Kadi & Maleek Berry Msanii Mr Eazi baada ya kutoa mixtape mpya ya inayokwenda kwa jina la “Accra to Lagos” hii hapa ni moja kati ya ngoma ambazo zinapatikana kwenye mixtape hiyo.

Wimbo unaitwa “Leg Over” na hii hapa ni video mpya ya wimbo huo ambao amewashirikisha Wizkid pamoja na Maleek Barry.