NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, February 13, 2016

Fifa ya Mpiga: Jerome Valcke marufuku kushiriki soka kwa miaka 12


Jerome Valcke ambaye aliyekuwa katibu mkuu wa FIFA amepigwa marufuku kushiriki katika soka yoyote kwa kipindi cha miaka 12.

Uamuzi huo umeafikiwa na kamati ya maadili ya shirikisho hilo kufuatia madai ya uovu yanayohusishwa na uuzaji wa tiketi za michuano ya kombe la dunia.
Jérôme-Valcke
Wakati wa uchunguzi ,visa kadhaa vya uovu vilijitokeza,ikiwemo matumizi ya nauli,sera na taratibu.

Valcke pia amepigwa faini ya faranga 100,000 za Uswizi ambazo ni sawa na pauni 70,800.


Source: BBC