NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, July 16, 2014

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU

                      

MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

0 maoni: