NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, April 5, 2014

Makodakta wameshtumiwa kwa kusababisha ajali zisizo za lazima kutokana na kuendesha vyombo vya moto bila leseni.


Makodakta wa magari ya abiria yaendayo Mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya Vijijini wameshtumiwa kwa kusababisha ajali zisizo za lazima kutokana na kuendesha vyombo vya moto bila leseni.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti mmoja wa abiria wamesema tatizo hilo limekuwa sugu akama anavyosimulia kisa kimoja wapo kilichowahi kutokea eneo la stendi ya Kabwe.

 HABARI ILIYOANDIKWA NA GREYSON SALUFU INASOMA KWAKO...

0 maoni: