NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Thursday, March 6, 2014

Ray C 'amtandika' Lord Eyez kwenye mtandao!


Mwanamuziki kiuno bila mfupa Ray C amempa makavu pamoja na ushauri nasaha aliyekuwa mpenzi wake rapa Lord Eyez ambaye inasemekana ndio alimuingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na kumfanya apoteze muelekeo.Kupitia mtandao wa Instagram Ray C aliweka picha ya Lord Eyez akiwa chini ya ulinzi wa polisi na kufunguka haya;0 maoni: