NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, January 31, 2014

TP Mazembe Wanasema Mbwana Samatta Ndio Mchezaji Bora Mwaka 2013Mbwana Samata ambaye ni mshambuliaji wa Taifa Stars amepewa kura ya kuwa mchezaji bora wa mwaka 2013 na mashabiki wa TP Mazembe. Kwenye Mtandao wao tarehe 29 waliweka hio picha hapo juu na kuandika kuwa uchaguzi wa mchezaji bora wa Golden Raven imekamilika siku chache zilizopita na kwamba Mbwana Aly Samata kaibuka na point 248.

List Iko Hapa
1.  Mbwana Aly SAMATTA 248 points
2. Salomon ASANTE 219
3.    Robert KIDIABA 200
4.    Nathan SINKALA 97
5.    Rainford KALABA  67

0 maoni: