NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, December 27, 2013

Kocha CHARLES BONIFACE MKWASA HUENDA AKAWA KOCHA MPYA YANGA SC.Uongozi wa klabu ya Ruvu Shooting umekiri kuwa mbioni kumpoteza kocha wao Charles Boniface Mkwasa ambae huenda akajiunga na mabingwa wa soka Tanzania bara Dar es salaam Young Africans ambao wanamsaka mbadala wa kocha waliomfungashia virago Erne Brandts.


Afisa habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire amesema tayari kocha huyo ameshafanya mazungumzo ya awali na viongozi wa Dar es salaam Young Africans na sasa wanachosubirio ni hatu nyingine kufuatwa ili wakamilishe mpango wa kumuachia Mkwasa.

ENDELEA KU - LIKE PAGE YETU YA MWANDISHI WA BLOGU HII.

0 maoni: