NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, November 20, 2013

SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA MSANII SUMA MNAZALETI

Nov 21! ndo cku aliyozaliwa huyu kijana ‪#‎suma‬ mnazaleti. Ubishi, kiburi, kipaji na kujitambua pia vilianzia cku iyo aliyoletwa dunian na zuhra binti mbwana Alan. 
Mungu mlaze mema mama yangu mzazi na baba yangu pia! Nusu ya umri nimeishi bila wao! Kwa kujiongoza mwnyewe nimefanikiwa kufika hapa Leo! Ewe muweza niongoze nifike nnapohtaji kufika Ameen!

0 maoni: