NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, October 15, 2013

WOSIA:- Producer MANECKY awataka Watayarishaji wa muziki wanaochipukia kuwa wabunifu na sio kujifananisha na wakongwe.

Mtayarishaji bora wa Muziki Bongo MANECKY kutoka AM RECORDS amewataka Watayarishaji wanaochipukia kwa sasa katika gemu la Muziki wa Kizazi Kipya kuwa wabunifu ili kujitofautisha na Maproducer wakongwe ili kujitengenezea sifa ya mapinduzi.

Akipiga na Stori na Chumba Cha Sindano kupitia Kipindi cha Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya alikuwa na haya ya kusema...
BOFYA HAPA CHINI KUMSIKILIZA.

0 maoni: