NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, October 18, 2013

SOGGY DOGGY:- kuna ngoma kali ambazo zimepikwa na Producer P FUNK pale Bongo Records ndizo zinahitaji video.Rapper SOGGY DOGGY a.k.a Chief Rumanyika amesema hana mkakati wowote wa kuifanyia Video ngoma yake ya Siumwi Siku ya Mshahara kwa sababu aliifanya ngoma kwa ajili ya redio, blogs na kusikilizwa na mashabiki wake lakini kwa sasa kuna ngoma kali ambazo zimepikwa na Producer P FUNK pale Bongo Records ndizo zinahitaji video.

Akipiga stori na Chumba Cha Sindano kupitia Kipindi cha Kali za Bomba ya Bomba FM 104.0MHz SOGGY DOGGY na hapa anaelezea……

0 maoni: