NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, September 10, 2013

Mpigie kura Ay katika Kipengele cha "Most Gifted Male Video" kwenye Tuzo za CHANNEL O AWARDS


 Katika Tuzo za Channel O, Tanzania imefanikiwa kuwa na Nominee Mmoja si mwingine ni Ay, ni juhudi yako mtanzania kumpigia kura Msanii huyu ili aweze kuiwakilisha vyema Tanzania yetu
Ay ameingia katika Categorie ya Most Gifted Male Video of The Year na nyimbo ya Party Zone aliyofanya na Marco Chali.

Bonyeza Hapa uweze kumpigia kura

0 maoni: