NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, July 13, 2013

UP DATES:- Usahili wa kwanza wa Bomba Presenter Search kuanza rasmiJulai 20, Mwaka huu.


Mchakato wa Kinyang'anyiro cha Ajira na kupata mkataba mnono wa kufanya kazi na kituo cha redio Bomba FM cha Mkoani Mbeya, usahili wa kwanza unaanza rasmi Julai 20, Mwaka huu.

MKAZO:- Washiriki wote mliochukua fomu mnakumbushwa kufuatilia taarifa mara kwa mara ili kufahamu kinachoendelea kupitia Redio na tovuti ya www.bombafm.co.tz

Vigezo na Masharti kuzingatia. Tunawatakia maandalizi mema ili kufanikisha kuwa mwanafamilia wa Bomba FM.
                                             Asante na Weekend njema!!!!! 

0 maoni: