NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Sunday, July 21, 2013

ANGALIA PICHA 6 ZA VIDEO YA MR FACE WA KENYA ILIYOTENGENEZWA NA MASHADA INC VIDEO PRODUCTION(MIVP).

 Msanii anayefanya vema katika Music Industry MR FACE kutoka Nchini Kenya(Kulia) na Producer DAYO MUSIC kutoka Studio zilizopiga ngoma ya PARTY kutoka MASHADA INC PRODUCTION na Video yake imetengenezwa jijini Mbeya na Kampuni ya MASHADA INC VEDIO PRODUCTION chini ya Ma-director KIKUNIZO FACECATCHER na FRIDAY KYANDO.
 Nouma twende na Party.
 Mmmmh Party Paaaaa!!...... Party People.
 Producer DAYO na VIDEO QUEENS wa video ya Msanii MR FACE kutoka nchini Kenya.
 Mtangazaji wa Kituo cha Redio Bomba FM 104,0MHz Mbeya.... Chris Bee, alivaa uhalisia katika kipande cha Mtoa huduma ya Chakula Hotelini.....
Msosi ukiandaliwa.... Big up kwa Kampuni ya MASHADA INC VEDIO PRODUCTION chini ya Ma-director KIKUNIZO FACECATCHER na FRIDAY KYANDO. na MR FACE Msanii toka Kenya na woteeeeee waliong'arisha Video.
|

Picha zote na MASHADA INC VEDIO PRODUCTION

0 maoni: