NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, March 6, 2013

DOGO AAMBIWA NYIE NDIYO MNAOTULETEA ZIRO TWENDE SHULE HII MBEYA VIJIJINI

MWANAFUNZI EMMANUEL ZAWADI WA SHULE YA MSINGI RUANDA KATA YA ILEMBO WILAYA YA MBEYA VIJIJINI AKIKAMATWA NA WANAFUNZI KUMPELEKA SHULE SABABU YA UTORO DOGO HUYO HUWA HAENDI SHULE HUSHINDA VICHAKANI LEO KAPATIKANA
NYIE UTORO WENU NDIYO UNASABABISHA SHULE ZETU ZIPATE ZIRO NYINGI WALISIKIKA WANAFUNZI HAO WAKISEMA 


Picha na Ezekiel Kamanga  Mbeya

1 maoni:

duuh...huyo dogo mwenyewe alivyo tu muonekano wake hakuna msomaji hapo, ila pongezi kwa hao wanafunzi wanapenda mwenzao asome!