NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, November 30, 2012

TUNAOMBA MSAADA MAMA HUYU AKAMTIBIE MWANAE INDIA JAMANI , MTOTO UTUMBO UKO NJE, ANAJISAIDIA KUPITIA TUMBONI

Mama huyu anaomba Watanzania na watu/mtu yoyote mwenye roho ya huruma kumsaidia kiasi cha sh. milioni 6 ili akampeleke mwane kutibiwa nchini India kama muonavyo kwenye picha, mtoto utumbo upo nje na hii inasababisha mtoto asiweze kufanya mambo kama kawaida ikiwa ni pamoja na kujisaidia, najisaidia kupitia hapo tumboni, baba wa mtoto hajulikani alipo kama kawaida ya baadhi ya wababa kukimbia pindi mtoto apatwapo na matatizo kama hivi, ni mama tu ndio anahangaika na huyu mama hana chochote kwa kweli, mchango tunaokuomba wewe ndugu msomani ni kasi chochote kuanzi elfu  5 tu jamani na Mungu atakubariki sana  jamani, namba ni  voda mpesa 0767914768, ya Thecla Timothy  na tigo 0652460700 ya mama Bupe Mwakalasa...

ASANTENI SANA....

0 maoni: