NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, November 16, 2012

Mtu mmoja afariki ktk vurugu kati ya wamchinga na mgambo Mwanza.

Shughuli za biashara na kijamii katikati ya jiji la Mwanza leo zimesimama kwa zaidi ya saa tano, kufuatia vurugu kati ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga na askari mgambo wa jiji la Mwanza, vurugu ambazo zimesababisha kuuawa kwa mtu mmoja baada ya kupigwa risasi na wengine wawili kujeruhiwa vibaya.
Kwa hisani ya http://swahilivilla.blogspot.com

0 maoni: