NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, October 6, 2012

Z ANTO:- PESA NITAKUTAFUTA KATIKA MAISHA NA SIO MAPENZIMsaani wa Muziki wa Kizazi kipya ambaye ameshwahi hiti na ngoma kama vile “Mpenzi Jini”, “Binti kiziwi” na  Kisiwa Cha Malavidavi, Z Anto ametwatuka na Chimbuko Letu kuwa Mapenzi sio ya kutafuta ila pesa ndio muhimu katika maisha na kutafuta ila mapenzi yapo kila siku na anakila sababu ya kusema anahitaji kuvuta subira kwa sababu alishwahi kuwa katika ndoa na anafahamu faida na hasara lakini kupitia hilo akishakamilisha mambo anayo yafanya atakuwa tayari kuoa.

Bofya hapa kumsikiliza zaidi........

0 maoni: