NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, October 19, 2012

UJENZI WA SOKO LA MWANJELWA WASUASUA MKANDARASI ATELEKEZA WAFANYAKAZI BAADA YA KUDAIWA MILIONI 30

Soko la Mwanjelwa ambalo linatarajiwa kukabidhiwa November Mosi mwaka huu uenda lisikabidhiwe kama inavyokusudiwa kutokana na wafanyakazi wa ujenzi wa soko hilo kufanya mgomo baridi kutokana na kile walichokieleza kuwa hawajalipa mishahara yao kwa muda mrefu.

Mkurugenzi wa Jiji JUMA IDI athibitisha na kusema suala hilo linashughulikiwa na sasa Milioni 10 zimetolewa na mkandarasi huyo kwa lengo la kulipa sehemu ya pesa anayodaiwa.

0 maoni: