NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, August 18, 2012

MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDÉ AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI MITATU

KOFFI OLOMIDE AKIWA NA CINDY LE COUR
Mahakama ya mjini Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imemhukumu kifungo cha miezi 3 jela mwanamuziki mashuhuri Koffi Olomidé kwa kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa umma.
Mji wa Kinshasa,DRC Mji wa Kinshasa,DRC

Koffi Olomide alikamatwa hapo jana baada ya kumrushia ngumi na kumuumiza meneja wake wa muziki. Olomidé ambaye alijipatia sifa kutokana na muziki wa rumba,amewahuzunisha wakongo wengi kufuatia kitendo chake hicho. Saleh Mwanamilongo amekuwa akifuatilia tukio hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

0 maoni: