NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Thursday, July 12, 2012

WAKIWEZESHWA WANAWEZA,SERIKALI IWAANGALIE KWA UKARIBU WANAWAKE ILI WAWEZE KUPATA MIKOPO.

 Mkazi wa Jijini Mbeya akitembeza viazi katika mtaa wa Uhindini,akitafuta wateja watakao nunua kwa lengo la kupata kipato kitakacho muwezesha kujikimu na maisha ya familia yake.
Mfanyabiashara wa vitunguu akiwa katika eneo lake la biashara stendi ya  daladala Kabwe Jijini Mbeya, na fungu moja la vitunguu huliuza kati ya shilingi 500 hadi 1000.Serikali iwaangalie wakina mama kama hawa ili kuweza kupata mikopo midogomidogo itakayowawezesha kuendesha biashara zao.
Mkazi wa Meta Jijini Mbeya akianika ulezi kando kando ya ukuta wa Shule ya Sekondari Meta, ulezi huo unatumika kwa ajili ya kutengenezea pombe za kienyeji (picha na mdau wetu Godfrey Kahango).
.

0 maoni: