NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Thursday, July 5, 2012

Okwii athibitisha kwa simu kuwa ana mkataba na Simba na si uvumi ulioenea kuwa amehamia Yanga.

 Huu ndio mkataba kati ya Okwi na Simba ambao umeoneshwa muda huu
 Waandishi wa Habari wakimsikiliza Okwi moja kwa moja wakati makamu mwenyekiti wa Club ya Simba G.Nyange alipompigia simu, Okwi akiwa kwao Uganda 
 Makamu Mwenyekiti wa Simba akionesha mkataba wao na Okwi 
Huu ndio mkataba wote kati ya Okwi na Club ya Simba 
Picha na Gadner Dibibi mdau wa Tone Media.

0 maoni: