NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, July 31, 2012

GAZETI LA DIRA; KASHFA YA KUHONGWA WABUNGE LAWATAJA Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango

Gazeti la Dira la leo limewataja wabunge wanasadikiwa kulamba mlungula ambapo kwa mujibu wa gazeti hilo wamo Zitto Kabwe ambaye anatajwa kuwa na ukwasi wakutisha ikiwapo nyumba kadhaa na magari ya kifahari, wengine waliotajwa ni Ole Sendeka na Mama Kilango Malecela ambao ndiyo wapiga kekele wakubwa wa ufisadi kumbe usanii tu.

Kwa upande mwingine limeeleza kuwa Katibu mkuu wa Chadema Dk. Slaa amesema ikiwa itabainika wabunge wake watakutwa na hatia watachukuliwa hatua kali za kichama.

Kwa hisani ya G Sengo Blog.

0 maoni: