NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, July 17, 2012

BWENI LA WASICHANA LA SHULE YA SEKONDARI YA MOROGORO LATEKETEA KWA MOTO USIKU.

 Mkuu wa shule ya Sekondari ya Morogoro Bwana Thomas Chihwalo(kulia)akitoa maelezo wa tukio hilo kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mheshimiwa Joel Bendera (katikati) na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mheshimiwa Aziz Abood usikuu.
 Bweni hilo likitetekea na moto huo
 Gari la kikosi cha Zimamoto likiendele kuuzima moto huo.
 Baadhi ya wanafunzi waliopoteza fahamu baada ya kunusurika kwenye janga hilo
 Wanafunzi wakilia kwa uchungu kufuatia janga hilo.
Wakiendelea kuokoa vitu
Picha zote na Blog ya Morogoro yetu

0 maoni: