NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, June 15, 2012

TASWIRA HII INAKUKUMBUSHA WAPI TEH TEH!! HEBU JIULIZE??

Teh teh teh teh kwi kwi kwi kwi hu hu hu .... Kama hujaishi uswazi au kijijini kwa kweli ulipitwa na mambo mengi,ambayo yatakufanya ujifunze ugumu wa maisha na raha yake!! Ukamuaji huu wa nguo mara baada ya kuzifua kabla ya kuzianika ni hatari kwa maisha nguo husika(kutanuka au kuchanika).

0 maoni: