NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Monday, June 4, 2012

MISS REDDS 2012 MKOANI MBEYA, WINFRIDA PAULO AIBUKA MSHINDI

 MSHINDI WA KWANZA WA MISS REDDS 2012 MKOANI MBEYA WINFRIDA PAULO MARA BAADA YA KUTANGAZWA USIKU HUU
 HAPA AKIVISHWA  TAJI LA USHINDI
 AKIWA NA FURAHA MUDA MFUPI BAADA YA KUVISHWA TAJI LA USHINDI

 KUTOKA KUSHOTO NI MSHINDI WA PILI ANAITWA SABRINA ABDUL NA KULIA NI MSHINDI WA TATU ANAITWA CAREEN ELIAS 
 MGENI RASMI MH. GEOFREY ANNANIA AKIMKABIDHI MSHINDI WA KWANZA LAPTOP YENYE THAMANI YA SH 700,000 ZAKITANZANIA
PICHA ZOTE ZIMEPIGWA LIVE NA MWANDISHI WA MBEYA YETU NDUGU JOSEPH MWAISANGO.

0 maoni: