NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, June 12, 2012

JE,TUTAFIKA? KWA MAISHA HAYA NA WATOTO NI TAIFA LA KESHO.

Wazazi wamekuwa hawatimizi majukumu yao,juu ya malezi ya watoto na hivyo kuwapa watoto jukumu la kuwalea watoto wenzao kama unavyoona pichani.Watoto hawa walikutwa kando kando ya Ziwa Nyasa,Wilaya ya Kyela,Mkoani Mbeya.

0 maoni: