NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Thursday, May 10, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI KIWANDA CHA MARUMARU MUDA HUU ATEMBELEA BAADHI YA MAENEO

 Waziri Mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda akipata maelezo katika Kiwanda cha marumaru jijini Mbeya leo.
 BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA  MARUMARU  MBEYA 
 WAZIRI MKUU AKIPATA MAELEZO YA KINA JUU YA KIWANDA CHA  MARUMARU  MBEYA MUDA HUU 
 HIVI NDIVYO KIWANDA CHA  MARUMARU  KINAVYO ONEKANA MUDA HUU
 WAZIRI MKUU AKIPATA MAELEKEZO  YA KINA JUU YA JIWE LA  MARUMARU  MUDA HUU 


 WAZIRI MKUU MUHESHIMIWA PINDA AKIONESHWA  MARUMARU  AMBAZO ZIMEKWIYA KWA AJILI YA MAUZO

MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU SASA ANAELEKEA UKUMBINI KUONGEA NA WAFANYA KAZI

0 maoni: