NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Monday, May 21, 2012

FLAVIANA MATATA KUTOA MSAADA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA.Mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata Amekuja nchini akitokea nchini Marekani ambako ndiko yaliko makazi yake  kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa VIFAA VYA KUOKOLEA.
MAISHA MAJINI (life vest)  ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV BUKOBA izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo  Jumatatu ya 21 May  jijini mwanza.

Soma zaidi http://fununuhabarii.blogspot.com/

0 maoni: