NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, May 19, 2012

BREAKING NEWS:- TUKIO LA UBAKAJI MWIMBAJI WA NYIMBO LA INJILI AUTUHUMIWA MKOANI MBEYA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili mkoani Mbeya ajulikanaye kwa jina la Uncle Machibula, mkazi wa Kata ya Iyela, Jijini Mbeya, anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa Kidato cha pili wa Shule ya Sekondari Itebwa.

Tukio hilo limetokea Mei 16 mwaka huu majira ya jioni na mpaka sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kutoka Kituo cha kati kwa mahojiano zaidi.

*****Kwa habari zaidi tembelea mtandao huu*****

0 maoni: