NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, May 5, 2012

AJALI ASUBUHI YA LEO MAENEO YA SOWETO JIJINI MBEYA WA NNE WAJERUHIWA WAKIMBIZWA HOSPITALINI CHANZO MWENDO KASI

 GARI LA ABIRIA LIKIWA LIMEGONGWA NA FUSO LA MIZIGO MUDA MCHACHE ULIO PITA

 HIVI NDIVYO GARI HILO LILIVYO HARIBIKA 
HILI NDILO GARI LILILO SABABISHA AJALI HILO KWA KUWA NA MWENDO KASI
 FUSO AMBALO LILIGONGA GARI LA ABIRIA

BAADHI YA WATU WAKISHANGAA AJALI HIYO.
Kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.

0 maoni: