NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, March 2, 2012

WANAFAMILIA YA MOROGORO ITAKUWA JAMBO LA BURASA KUMUENZI MWANAMUZIKI WA KWANZA KUTOKA MKOANI HUMO BARAKA MWISHEHE


Morogoro Fam
Baadhi ya wana Family wameshauri ya kuwa itakuwa ni jambo la busara kama Mkoa wetu wa Morogoro utamuenzi mwanamuziki wa kwanza  kabisa kutoka Morogoro, marehemu bwana Baraka Mwishehe, kwa kuweka sanamu yake hapo kwenye kerpleft cha hapa katikati ya mji. Je mwalionaje hilo? Tunaomba mawazo yako tupatapo maombi ya kutosha basi tutajaribu kutuma ombi hilo kwa Mheshmiwa Meya wa mji. Asanteni.
· · · September 1, 2011 at 7:48pm

0 maoni: