NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Monday, January 16, 2012

KITUO CHA MAFUTA CHA JM MBEYA CHANUSURIKA KUUNGUA BAADA YA MOTO KUZUKA HOTELINI.

Kituo cha Mafuta cha JM kilichopo eneo la Forest Mpya jijini Mbeya kimenusurika kuungua kwa moto kutokana na moto kuzuka kutoka JM Motel ambayo inapakana na Kituo hicho. Moto huo ulianza majira na saa 1 jioni, jana kwa kile kilichodaiwa kuwa ni hitilafu ya Umeme hali iliyopelekea  kuudhibiti kwa kutumia vifaa vya kuzimia moto vilivyopo hotelini hapo kabla ya Jeshi la Zimamoto kufika kituoni hapo.
 Askari wa Kikosi cha Zimamoto akiendelea kuudhibiti moto katika Kituo cha Mafuta cha JM kilichopo eneo la Forest Mpya jijini Mbeya ambacho kimenusurika kuungua kwa moto kutokana na moto kuzuka kutoka JM Motel ambayo inapakana na Kituo hicho.
 Mmoja wa wahudumu wa JM Motel akieleza hali ngumu aliyokabiliwa nayo, baada ya kutoka kuudhibiti moto akipata hewa safi baada ya Kikosi cha Zimamoto kufika kuudhibiti moto huo ulioanza majira na saa 1 jioni, jana  kwa kile kilichodaiwa kuwa ni hitilafu ya Umeme hali iliyopelekea  kuudhibiti kwa kutumia vifaa vya kuzimia moto vilivyopo hotelini hapo kabla ya Jeshi la Zimamoto kufika kituoni hapo.
 Mmoja wa askari wa Zimamoto waliokuwa wakidhibiti Moto huo ulioanza majira na saa 1 jioni, jana  kwa kile kilichodaiwa kuwa ni hitilafu ya Umeme hali iliyopelekea  kuudhibiti kwa kutumia vifaa vya kuzimia moto vilivyopo hotelini hapo kabla ya Jeshi la Zimamoto kufika kituoni hapo. .
 Askari wa Zimamoto akiendelea kudhibiti Moto huo ulioanza majira na saa 1 jioni, jana  kwa kile kilichodaiwa kuwa ni hitilafu ya Umeme hali iliyopelekea  kuudhibiti kwa kutumia vifaa vya kuzimia moto vilivyopo hotelini hapo kabla ya Jeshi la Zimamoto kufika kituoni hapo.(Picha na Ezekiel Kamanga, Mbeya) .

Hata hivyo Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Advocate Nyombi na jeshi lake lilifika eneo la tukio na kushuhudia udhibiti wa moto huo na kuhakikisha mali za kituo cha hicho cha mafuta na hoteli zinakuwa salama.

2 maoni:

kwa nini mbeya yetu jamani?

Dada Jane!! haifahamiki nani mchawi wenye mkoa wao labda wafahamu sababu