NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, January 4, 2012

EWURA MPO WAPI?:- BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA VYAENDELEA KUUZA MAFUTA YALIYOCHAKACHULIWA - MBEYA

 Baadhi ya Vituo vya mafuta mkoani Mbeya vinaunza mafuta yaliyochakachuliwa Ewura mko wapi? msikae na kuzunguka katika viti vya ofisini huko Dar es salaam hadi Waandishi wa habari wabaini kuwepo kwa udanganyifu wa mafuta. 
Pichani ni Bwana Gordon Kalulunga akionesha mafuta yaliyochakachuliwa katika moja ya vituo vya mafuta jijini Mbeya.
Pichani ni gari lililokuwa limewekwa mafuta yaliyochakachuliwa kituoni hapo na kisha kuzima muda mfupi tu wakati likiwashwa na dereva kwa lengo la kuondoka, ndipo alipobaini kuwepo kwa mafuta yaliyochakachuliwa.

0 maoni: