NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, December 24, 2011

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abass Kadoro akikabidhi baadhi ya msaada kwa waathirika wa janga la mafuriko.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abass Kadoro akikabidhi baadhi ya msaada kwa waathirika wa janga la mafuriko lililoathiri Kata ya Ikuti nje kidogo ya Jiji la Mbeya jana. Msaada hiyo ulikuwa ni pamoja na Blanketi 100,,Mikeka 100, Gunia 15 za mahindi na Lita 90 za mafuta. Kata hiyo ilikumbwa mafuriko ambapo zaidi ya kaya 30 zilikosa makazi ya kuishi.

0 maoni: