NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, November 18, 2011

WANAWAKE NA MAENDELEO WASONGE MBELE MKOANI MBEYA

Bi Bi. Jane Mahenge akiwa katika shughuli zake za utengenezaji wa Masweta yanayotumiwa na wanafunzi ya shule mbalimbali za Msingi na Sekondari mkoani Mbeya. Baada ya kumaliza kidato cha Nne katika shule ya Sekondari Ivumwe jijini Mbeya, alifikia uamuzi wa kujifunza kufuma masweta kwa lengo la kujikimu kiuchumi katika kipindi cha kusuburi matokeo ya Kidato cha Nne kutoka.

0 maoni: