NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Sunday, October 23, 2011

WATANZANIA WAMETAKIWA KUFAHAMU BIASHARA NA TECHNOLOJIA YA DUNIA - WAZIRI DAKTANAGU

Na mwandishi wetu
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dakta Mary Nagu, amesema ili kuhimili misukosuko ya dunia ya utandawazi, watanzania wanatakiwa kufahamu biashara na teknolojia ya dunia.
    
Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Ofisi ya Kanda ya nyanda za juu kusini, ya kituo cha Uwekezaji (TIC) iliyopo mjini Mbeya.
 
Amesema inawapasa viongozi wa kanda hii ya nyanda za juu kusini, kuangalia maeneo yanayoweza kukua na kuleta maendeleo kwa kasi zaidi ili kuelekeza nguvu zaidi katika maeneo hayo.

Ameongeza kuwa Mpango wa kwanza wa Maendeleo wa miaka mitano  wa(2011/12 na 2015/16), umeainisha maeneo muhimu ya vipaumbele vya Mpango huo katika Kuongeza kasi ya Kukuza Uchumi na kupunguza umaskini (MKUKUTA I),

0 maoni: