NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, October 12, 2011

TUKUZE SOKA NCHINI KWA KUWAJENGA KISAIKOLOJIA WA WATOTO, KWA KUPATIWA MAFUNZO NA VITENDEA KAZI WAPA VITENDEA KAZI.

Siku njema huonekana asubuhi ..... Wanapaswa kujengewa vituo vya kujifunzia soka toka utotoni, na sio mpaka ukubwani kwa lengo la kuinua soka letu nchini ili kufuta dhana ya Tanzania kuitwa Kichwa cha mwendawazimu , Ni watoto wa kijiji cha Inyala wilayani Mbeya vijijini ambao wakicheza mpira wa mchangani bila kujali mawe maarufu kama Chandimu.

0 maoni: