NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, October 19, 2011

PATA BURUDANI SAFI KUTOKA KATIKA BAND YAKO YA MVULA MANDONDO

Unakaribishwa mdau kutizama burudani toka katika Band yako Mvula Mandondo ilivyotumbuiza katika sherehe za BLACK HISTORIA katika eneo la Brighton nchini Uingereza ambapo Bwana Saidi Tumba S(Saidi Kanda) ambaye alikuwa mmoja wa wasanii wa Band ya hayati Dk Remmy Ongala, alifungua kwa burudani ya Muziki wa kiasili katika Sherehe hiyo.
Kwa burudani zaidi tembelea katika Facebook Bofya hapa http://www.facebook.com/MvulaMandondo?ref=ts&sk=wall

0 maoni: