NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, October 12, 2011

NI SERIKALI AU MKANDARASI ANAYECHELEWESHA UJENZI WA BARABARA YA KUELEKEA WILAYANI CHUNYA IKITOKEA MBEYA MJINI

Sababu za kukwama kwa ujenzi wa barabara ya Kutoka Mbeya kuelekea wilayani Chunya ni nini? Baadhi ya vitendea kazi(mashine) zapelekwa nchini Malawi kwa ujenzi mwingine wa barabara nchini humo
 Mama akiponda kokoto hizi kwa lengo la kupata Dhahabu
Baadhi ya kokoto huuzwa kwa ajili ya Ujenzi wilayani Chunya ambazo zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kutoka Wilaya ya Mbeya mjini mpaka Wilayani humo.

0 maoni: