NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, September 20, 2011

WATOTO WA KIKE WASAIDIWE KUTOKANA NA KUISHI MAZINGIRA MAGUMU BWENINI SHULE YA SEKONDARI YA KATA YA ISANSA MBOZI

Mtandao huu kama ulivyobaini mlango huu wa bweni la wasichana ambao wakati wowote waweza kudondoka.
Kitanda cha bweni hilo kikiwa kimevunjika na bila kufanyiwa matengenezo na hivyo kupelekea wanafunzi hao kutumia kitanda hicho kwa kuwekea vitu kama viatu, nguo nk.

0 maoni: