NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, September 27, 2011

WANANCHI KATA YA ITENZI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA ULINZI ILI KUBAINI WAHALIFU.

Na mwandishi wetu.
Afisa mtendaji wa kata ya Itezi jijini Mbeya Bwana Gwakisa Angetile  amewataka wakazi wa kata hiyo kushirikiana katika ulinzi ili kuwafichua wahalifu.

 Hatua hiyo imefikiwa baada ya kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu katika kata hiyo hali inayosababisha hofu ya usalama wa maisha na mali zao.

 Aidha Bwana Angetile amesema kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikijitokeza hasa nyakati za usiku jambo ambalo linalopelekea uongozi wa kata hiyo kuwataka kushirikiana ili kulinda usalama wa mali zao

0 maoni: