NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, September 14, 2011

TANGA MPO TAYARI NI NANI ATAVUNJA KABATI NA KUJINYAKULIA JUNGU NENE ZA ZAWADI (BLACK & BLUE)

Muandaaji/Mratibu wa Tafrija hiyo Bwana Cousin Kidoba.

 
Salam!! 
Bibi/Bwana, Waja leo waondoka ..........................
Jina la Party:- BLACK & BLACKY PARTY
Mahali:- RASKAZONE BEACH-TANGA TANZANIA.
Tarehe:-  SEPTEMBER 28, 2011
Muda:-  SAA 7 MCHANA - 12 JIONI 
Muandaaji:- COUSIN KIDOBA.

Maelezo zaidi:_ Vigezo na Masharti kuzingatiwa SisterDuu na Brothermen njoo ukiwa umevalia na kuvunja kabati nzito la Pamba ya Rangi ya Blue na Black.

Atakaye vaa vizuri atajinyakulia zawadi nono.
Ulinzi umekamilika ili kufanikisha show hiyo kuwa salama na Salimini.
 
Endelea kutembelea mtandao huu kwa taarifa zaidi!! 

0 maoni: