NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Sunday, September 11, 2011

PICHA ZAIDI ZA KUZAMA KWA MELI

Watu walionusurika kutokana na kuzama kwa meli ya Spice Islander wakijaribu kuomba msaada huku wakiwa juu ya godoro
Watu walionusurika katika kuzama kwa Meli wiakiwa juu ya magodoro wakisubiri msaada

Moja ya Boti ziendazo kasi zikisaidia katika uokoaji
moja ya boti zilizosaidia shughuli za uokoaji wakisaidiana chupa za maji kwa kurushiana kama inavyoonekana hapa
Ndugu na jamaa wakisubili kuwapokea ndugu zao walinusurika na maiti za waliopata janga hili la kuzama kwa meli
ndugu na jamaa wengine waliangua kilio mara wakiona wapendwa wao wanapoletwa ufukweni
watu walionusurika na masalia ya vitu kama vinavyoonekana
Watu walionusurika wakisubiri zamu yao ya kuokolewa(picha kwa hisani ya Saleh Mohammed)

0 maoni: