NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Thursday, September 22, 2011

MWENDOKASI NA MAEGESHO YASIYOKUWA NA MPANGILIO NI CHANZO AJALI MKOANI MBEYA.

Gari dogo kama inavyoonekana hapo ilipoteza mwelekeo usiku wa kuamkia leo baada ya kugongana na gari nyingine ambayo ilitooweka muda mfupi baada ya kutokea kwa ajali hiyo, lakini bado kumekuwepo kwa tabia ya kung'olewa kwa namba za usaajili kwa lengo la kupoteza ushahidi.

Ajali hii imetokea eneo la Soweto jijinmi Mbeya na ambalo lilikuwa na abiria watatu ambao wamejeruhi na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya.

0 maoni: