NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, September 13, 2011

mtu mmoja anusurika kufa kwa ajali ya pikipiki.

Piki piki ikiwa chini ya uvungu wa basi hilo kama lionekanavyo pichani.
Mtu mmoja pichani kushoto,ambaye jina lake halikujulikana mara moja alinusurika kufa kwa ajali ya piki piki jana jioni maeneo ya Manyanya,Kinondoni jijini Dar,baada ya piki piki yake kukumbana na basi (daladala) lenye namba za usajili T411 BTD.

0 maoni: