NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, September 2, 2011

KERO YA MAJI YAENDELEA KUTIKISA MBEYA, AKINA MAMA KUDAIWA KUBAKWA NA WENGINE KUNUSURIKA KATA YA ISYESYE

 Wananchi wa Kata ya Isyesye wamekuwa wakilazimika kuamuza usiku wa manane ili kupata Maji kutokana na maji hayo kutoka nyakati za usiku na mchana mara chache, hali hiyo imekuwa hatari kutokana na wanawake kubakwa na wengine kunusurika.
 Wananchi wakiwa katika foleni wakisubiri Maji, Vijana wajipatia ajira ya kubeba maji hayo kupitia Mikokoteni, ambapo ujira huo hulipwa shilingi 200/= za kitanzania kwa ndoo moja kulingana na umbali.

0 maoni: