NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, September 17, 2011

HUKU JAMII YA MJINI IKIKOSA MAJI MARA KWA MARA HALI HIYO NI TOFAUTI VIJIJINI AMBAPO MAJI NI BWERERE

Kama inavyoonesha katika picha, mtoto huyo akiwa anateka maji katika kijiji cha Ndola wilayani Ileje ambapo maji yamekuwa yakipatikana ki urahisi tofauti na Tunduma na Mbeya mjini ambapo wananchi wamekuwa wakilazimika kuamka usiku wa Manane kupanga foleni hali ambayo inatishia kwa akina Mama kubakwa....... 

Maeneo yanayoongoza kwa kukatika kwa Maji kwa muda mrefu ni pamoja na Sai, RRM, Itenzi, Tunduma na mengine mengi.

0 maoni: