NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Saturday, September 24, 2011

HALI NI TETE YA DEREVA WA LORI LILILOUA WATU WATATU WATEMBEA KWA MIGUU MJI MDOGO WA MBALIZI.

Dereva wa gari aina ya Lori lenye namba IT.9518 Bwana Wilfred hali yake si shwari kutokana na kushidwa kuzinduka, baada ya kupata maumivu makali kichwani.
Muuguzi wa hospitali Teule ya Ifisi, wilaya ya Mbeya vijijini, Rhoda Kasongwa,alipolazwa dereva huyo.

0 maoni: