NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Thursday, September 29, 2011

BREAKING NESSSSSS:- MZIMU WA AJALI WAENDELEA KUIANDAMA MBEYA, AJALI MBAYA YATOKEA TENA MAENEO YA CHIMBUYA WILAYANI MBOZI


*Watu 8 wahofiwa kupoteza maisha akiwemo dereva wa pikipiki.

*Majeruhi wakimbizwa hospitali ya Rufaa Mbeya na wengine katika hospitali ya wilaya ya Mbozi.

*Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa moja usiku ikihusisha mpanda pikipiki ambayo haikuweza kufahamika mara moja nambari yake.

Chanzo cha ajali hii ni Trekta ambalo liliingia barabarani likiwa halina taa, ndipo dereva wa Toyota Prado ali[ojaribu kulikwepa akaavaana uso kwa usona na gari ya abiria.

0 maoni: