NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, August 30, 2011

WATU 10 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KWA KOSA LA KUFANYA MAANDAMANO BILA KIBALI KATIKA KIJIJI CHA INYALA.

 Baadhi ya wananchi waliamua kukaa mbali na kufuatilia mipangilio ya Maandamano hayo.
 Baadhi ya Mawe yaliyokuwa yamepangwa barabarani
Upande wa pili wananchi hawakusita kuchoma msitu.
Watu kumi na wawili wakazi wa kijiji cha Inyara wilaya ya Mbeya vijijini wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Mbeya kwa tuhuma za kufanya maandamano bila Kibali akiwemo SAMWELI TALIANI mwenye umri wa miaka 50.

Kamanda wa polisi mkoani Mbeya ADVOCATE NYOMBI amesema watu hao wamekamatwa wakifanya maandamano katika kijiji hicho wakishinikiza jeshi la polisi kuwaachia huru watuhumiwa wanne wa mauaji ambao wanashikiliwa na kituo cha polisi Inyara.

Aidha kamanda NYOMBI amewataja watuhumiwa ambao wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji katika kituo cha polisi Inyara kuwa ni MUSSA MWANABELE, MWASHINGA LAZIMA, JAPHET MWANJELA na MUSSA FREMON.

0 maoni: